ZINAZOVUMA:

Habari

Morocco yaifunga Brazil magoli mawili kwa moja katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliochezwa katika dimba la Ibn Batouta huko
Bi Kamal harris, anatarajiwa kufanya ziara nchini Tanzania tarehe 29 March 2023 kukuza diplomasia baina ya nchi hizo.
Timu ya Taifa stars yaichakaza vibaya Uganda katika mchezo wao wa kwanza uliochezwa nchini Misri.
Serikali ya Tanzania imetoa msaada wa kibinadamu kwa uturuki kufuatia tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo tarehe 6/2/2023
Uganda matatani baada ya kupitisha sheria dhidi ya mapenzi ya jinsia moja. Wawekewa vikwazo vya kiuchumi hadi watakapobadili sheria hiyo.
Mchezaji wa klabu ya Yanga aamua kuingia katika Uislamu siku ya kwanza ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Bakwata yathibitisha kuonekana kwa mwezi hivyo Ramadhani inatarajiwa kuanza kesho Alhamisi sawa na tarehe 23/3/203.
Nyota wa zamani wa Arsenal na Real Madrid Mesut Ozil (34) ametangaza kustaafu kucheza mpira wa kulipwa baada ya majeraha
Ugonjwa wa Marburg unasababishwa na virusi vya Marburg umegundulika huko bukoba ambapo umesababisha vifo vya watu watano mpaka sasa.
Mwezi haujaonekana siku ya leo jumanne hivyo Ramadhani inatarajiwa kuwa siku ya Alhamisi tarehe 23.
Klabu ya Chelsea kutoka ligi kuu ya uingereza imewafuturisha waislamu walio karibu na eneo la uwanja wao wa Stamford Bridge.
Msafara wa Raila Odinga umeshambuliwa na jeshi la polisi na kutupiwa vitoa machozi ili kusimamisha maandamano yanayoendelea nchini Kenya.
TFF imetangaza kuwa hakutakuwa na kiingilio katika mechi ya Taifa stars dhidi ya Uganda inayotarajiwa kuchezwa hapo kesho.
Bi Kamal harris, anatarajiwa kufanya ziara nchini Tanzania tarehe 29 March 2023 kukuza diplomasia baina ya nchi hizo.
Timu ya Taifa stars yaichakaza vibaya Uganda katika mchezo wao wa kwanza uliochezwa nchini Misri.
Serikali ya Tanzania imetoa msaada wa kibinadamu kwa uturuki kufuatia tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo tarehe 6/2/2023
Uganda matatani baada ya kupitisha sheria dhidi ya mapenzi ya jinsia moja. Wawekewa vikwazo vya kiuchumi hadi watakapobadili sheria hiyo.
Mchezaji wa klabu ya Yanga aamua kuingia katika Uislamu siku ya kwanza ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Chaguo la Mhariri

Makala Mpya