Timu ya Tanzania, Taifa stars imefanikiwa kushinda dhidi ya Uganda katika mchezo wake wa kufuzu AFCON 2023.
Goli pekee la Simon Msuva limeipatia ushindi katika mchezo huo uliochezwa katika nchi ya misri.
Mechi ya marudiano inatarajiwa kuwa tarehe 28/3/2023 ambapo mchezo huu utachezwa nyumbani Tanzania katika dimba la Benjamin Mkapa.