ZINAZOVUMA:

Mwezi haujaonekana leo.

Mwezi haujaonekana siku ya leo jumanne hivyo Ramadhani inatarajiwa kuwa...

Share na:

Kamati ya mwezi nchini Saudi Arabia inayoongozwa na Dr Abdullah Khudairi imethibitisha kutoonekana kwa muandamo wa mwezi jioni ya leo siku ya jumanne.

Hivyo Ramadhani ya kwanza inatarajiwa kuwa siku ya Alhamisi ambayo ni sawa na tarehe 23/3/2023.

Endelea Kusoma

Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya