ZINAZOVUMA:

Marekani kufanya ziara Tanzania.

Bi Kamal harris, anatarajiwa kufanya ziara nchini Tanzania tarehe 29...

Share na:

Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania imetoa taarifa ya kumkaribisha makamu wa Raisi wa marekani Kamala Harris ambae anatarajiwa kuingia nchini tarehe 29 March 2023.

Ikiwa zimebaki siku mbili pekee kumkaribisha makamu huyo wa Raisi ambae ziara yake pamoja na mambo mengine inalenga kuandaa mazingira ya ziara kubwa ya Raisi wa marekani Joe Biden.

Ziara hizo zinalenga kukuza mahusiano mazuri ya kidiplomasia baina ya marekani na nchi za barani Afrika.

Endelea Kusoma

Mfalme Salman wa Saudi Arabia aongoza kikao cha baraza la Mawaziri baada

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya