Baraza kuu la waislamu Tanzania Bakwata kupitia Muft Mkuu Sheikh Abubakar Bin Zubeir amethibitisha kuandama na kuonekana kwa mwezi siku ya leo ya jumatano tarehe 22/3/2023 hivyo Ramadhani inatarajiwa kuanza kesho Alhamisi tarehe 23/3/203.
Aidha Muft amesema wamepokea taarifa za mwezi kuonekana maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Ramadhani Mubarak..