Israel yauwa wanne kutoka Syria Wanajeshi wanne wa Syria na wapiganaji wawili wanaoungwa mkono na Iran wameuwawa katika shambulio lililofanywa na Israel Jamii, Maafa, Siasa August 7, 2023 Soma Zaidi
Hali ya Nigeria yamchanganya Raisi Tinubu August 1, 2023 Jamii, Kilimo, Maafa, Uchumi Raisi wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza hatua za kukabiliana na kupanda kwa gharama za maisha nchini humo
ECOWAS yaiwekea vikwazo Niger July 31, 2023 Maafa, Siasa Jumuiya ya umoja wa nchi za Magharibi ECOWAS umelipa wiki moja jeshi la Niger kuhakikisha linarudisha madaraka kwa Rais wa
44 wapoteza maisha katika mlipuko, Pakistan July 31, 2023 Jamii, Maafa Zaidi ya watu 44 wamepoteza maisha huku 100 wakijeruhiwa katika mlipuko wa kujitoa muhanga uliotokea nchini Pakistan
watu 13 wahofiwa kupoteza maisha ziwa Victoria July 31, 2023 Jamii, Maafa Watu 13 wahofiwa kupoteza maisha baada ya mitumbwi miwili kuzama ndani ya ziwa Victoria
Serikali ya DRC yaishutumu Rwanda kwa uvamizi mpakani July 28, 2023 Maafa, Siasa, Uhalifu Serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo imelishutumu jeshi la Rwanda kwa kuvuka mpaka na kuvamia ardhi yake
Miili 901 yakutwa pwani ya Tunisia July 27, 2023 Jamii, Maafa Zaidi ya miili 901 imekutwa katika pwani ya Tunisia ya wahamiaji wakijaribu kuvuka kuelekea nchini Italia
Watu 8 wafariki baada ya lori la mafuta kulipuka July 24, 2023 Maafa, Nishati Watu nane wamefariki baada ya lori lililobeba mafuta kuanguka pembezoni mwa barabara na baadae kulipuka moto.
Vikosi vya wanamgambo vimeichukua Darful July 18, 2023 Maafa, Siasa Mapigano yanayoendelea nchini Sudan mpaka sasa vikosi vya wanamgambo wa RSF vimefanikiwa kuushikilia mji wa Darful
Putin aahidi kulipa kisasi baada ya shambulio la Crimea July 18, 2023 Maafa, Siasa, Uhalifu Raisi wa Urusi Vladimir Putin ameahidi kulipiza kisasi kwa Ukraine baada ya shambulio jipya la ndege zisizo na rubani
Bola atangaza hali ya hatari Nigeria July 15, 2023 Jamii, Kilimo, Maafa Raisi wa Nigeria Mheshimiwa Bola Tinubu ametangaza hali ya hatari kuhusu usalama wa chakula nchini humo.
Vurugu za Maandamano Kenya: Watu 6 Wauawa na Risasi, Vifo Vyafikia 12 July 14, 2023 Jamii, Maafa, Siasa Katika maandamano ya Azimio la Umoja Kenya, watu sita wameuawa baada ya kupigwa risasi katika makabiliano kati ya polisi na