Putin ahofia kwenda Afrika Kusini Raisi wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema kuwa Raisi wa Urusi, Putin hatohudhuria mkutano wa BRICS badala yake atatuma muwakilishi Siasa July 20, 2023 Soma Zaidi
Ethiopia yarejesha matumizi ya mitandao July 19, 2023 Jamii, Teknolojia Ethiopia imeruhusu matumizi ya mitandao ya kijamii baada ya kuifugia kwa muda wa miezi mitano
Afrika Kusini inabinafsisha bandari yake July 19, 2023 Biashara, Uchumi Afrika Kusini inabinafsisha bandari yake ya Durban upande wa makontena kwa lengo la kuboresha shughuli na kuongeza ufanisi
Raisi Ramaphosa ahofia vita na Putin July 19, 2023 Siasa Ramaphosa ahofia kumkamata Raisi wa Urusi Vladimir Putin, inaweza tafsiriwa kama tangazo la vita dhidi ya Urusi
Wawili wapigwa risasi maandamano Kenya July 19, 2023 Jamii, Siasa Wawili wamepigwa risasi na polisi nchini Kenya wakati wa mapambano kati ya waandamanaji na maaskari wa jeshi hilo.
Vikosi vya wanamgambo vimeichukua Darful July 18, 2023 Maafa, Siasa Mapigano yanayoendelea nchini Sudan mpaka sasa vikosi vya wanamgambo wa RSF vimefanikiwa kuushikilia mji wa Darful
Ruto ataka Afrika iungane July 18, 2023 Siasa Raisi wa Kenya William Ruto amesikitishwa na Afrika ya Miongo 5 kutegemea nje ya hapa, na kuonyesha inawezekana kujitegemea.
Watu nane wafariki baada ya jengo kuporomoka July 18, 2023 Jamii Watu nane wamepoteza maisha na mmoja kujeruhiwa baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuporomoka kutokana na mkazi mmoja kubomoa ukuta wa
Ghana yaruhusu kilimo cha bangi July 17, 2023 Afya, Jamii, Kilimo Ghana inaungana na nchini nyingne kumi barani Afrika ambazo zimeruhusu kilimo cha bangi
Bola atangaza hali ya hatari Nigeria July 15, 2023 Jamii, Kilimo, Maafa Raisi wa Nigeria Mheshimiwa Bola Tinubu ametangaza hali ya hatari kuhusu usalama wa chakula nchini humo.
Iran yajenga urafiki na Zimbabwe July 14, 2023 Siasa Iran na Zimbabwe zimeingia makubaliano na kutia saini mikataba 12 yenye lengo la kukuza uhusiano wa kibiashara baina ya mataifa hayo
Nchi Tano kutokomeza ukimwi kufikia 2030 July 14, 2023 Afya Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi 5 ambazo zipo kwenye mpango wa kutokomeza virusi vya ukimwi kufikia 2030