ZINAZOVUMA:

Habari

Raisi Mwinyi akisisitiza jambo
Raisi Mwinyi atengua teuzi mbili, ya Kamisha wa Wizara ya Fedha na Mipango, na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara
Mjumbe kutoka umoja wa mataifa aliyechaguliwa kwenda Sudan amejiuzulu huku akitahadharisha vita ya wenyewe kwa wenyewe
Raisi wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa Korea kaskazini Kim Jon Un wamekubaliana na kufikia makubaliano ya kushirikiana kijeshi
Mtoto wa Mnangagwa akiapa
Mtoto pamoja na mpwa wa Emerson Mnangagwa, Raisi wa Zimbabwe, wateuliwa kushina nafasi za Naibu Waziri Fedha na Utalii mutawalia.
Vinu vya Nyuklia
Serikali ya Rwanda imeingia makubaliano na kampuni ya Dual Fluid kutengeneza kinu cha nyuklia kwa ajili ya kuzalisha umeme nchini

Chaguo la Mhariri

Makala Mpya