ZINAZOVUMA:

DKT.MALASUSA: Wanalumbana kama wataishi milele

Dk"Ukiona watu wanatembea utadhani wataishi milele, ukiona watu wanalumbana hawataki...

Share na:

“Ukiona watu wanatembea utadhani wataishi milele, ukiona watu wanalumbana hawataki kupatana utadhani wataishi milele, ukiona familia hazikai pamoja utadhani wataishi milele, Ayubu anatukumbusha kwamba Mwanadamu siku zake za kuishi si nyingi”-Dkt Alex Malasusa-Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania.

Endelea Kusoma

Vyombo vya Habari nchini Iran vimeanza kutangaza kifo cha Rais Ebrahim Raisi,