Ripoti ya C.A.G yaibua makubwa. CAG aona mengi katika ukaguzi wake mwaka huu. Raisi apendekeza TTCL iwekeze muda katika wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani leo tarehe 29 March 2023 amepokea Siasa March 29, 2023 Soma Zaidi
“Miradi ya Uviko 19 ipo chini ya kiwango” CP. Salumu Hamduni March 29, 2023 Siasa Raisi Samia amepokea ripoti ya TAKUKURU ya 2021/2022 ambayo imegundua ubadhilifu wa fedha za miradi ya serikali.
Ugonjwa wa Marburg, historia, dalili na tiba yake. March 29, 2023 Afya Ifahamu Marburg, asili yake, ilipotokea lakini pia athari na namna ya kujikinga na ugonjwa huu mpya.
Ugonjwa wa Marburg, historia, dalili na tiba yake. March 29, 2023 Afya Ifahamu Marburg, asili yake, ilipotokea lakini pia athari na namna ya kujikinga na ugonjwa huu mpya.
Taifa stars “yalowa” kwa Mkapa. March 28, 2023 Michezo Timu ya taifa ya Tanzania imepoteza katika mchezo wa marudiano na Uganda kwenye michuano ya kufuzu AFCON 2023.
Yanga yamfukuza kocha wake. March 28, 2023 Michezo Klabu ya Yanga princess imetangaza kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kocha wake Mkuu Sebastian Nkoma.
Wahitimu wa udaktari wafutiwa shahada zao. March 28, 2023 Elimu St Augustine Tanzania imewafutia shahada wahitimu wa udaktari 162 kwa kosa la kutorejesha nyaraka za matokeo.
Hakuna kiingilio, Stars vs Uganda. March 27, 2023 Michezo TFF imetangaza kuwa hakutakuwa na kiingilio katika mechi ya Taifa stars dhidi ya Uganda inayotarajiwa kuchezwa hapo kesho.
Waziri Mkuu: “Kuweni kama kina Ali Kamwe”. March 27, 2023 Habari Waziri Mkuu awataka maafisa habari wa serikali kufuata nyayo za maafisa habari wa michezo wanavyotoa habari.
Marekani kufanya ziara Tanzania. March 27, 2023 Habari, Siasa Bi Kamal harris, anatarajiwa kufanya ziara nchini Tanzania tarehe 29 March 2023 kukuza diplomasia baina ya nchi hizo.
Stars yaicharaza Uganda. March 24, 2023 Habari, Michezo Timu ya Taifa stars yaichakaza vibaya Uganda katika mchezo wao wa kwanza uliochezwa nchini Misri.
Nyama pori zina virusi vya “Marburg”. March 24, 2023 Afya Mratibu wa elimu ya afya ametoa tahadhari ya kutumia nyama za wanyama pori kwani zinabeba virusi vya "Marburg".
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma