ZINAZOVUMA:

Taifa stars “yalowa” kwa Mkapa.

Timu ya taifa ya Tanzania imepoteza katika mchezo wa marudiano...

Share na:

Mchezo wa marudiano Kati ya Taifa stars dhidi ya Uganda umemalizika kwa Uganda kufanikiwa kushinda goli moja kwa bila.

Goli la dakika za lala salama la Rogers Mato (90) limeua matumaini ya Taifa stars kutinga katika mashindano ya AFCON 2023.

Matumaini pekee kwa timu ya Taifa stars ni mechi ya mwisho dhidi ya Niger kushinda wakati huo akiomba Uganda apoteze mchezo wake wa mwisho.

Endelea Kusoma

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya