ZINAZOVUMA:

Tetesi za usajili Barani Ulaya

Tetesi za usajili Barani Ulaya zazidi kushika hatamu nyota mbalimbali...

Share na:

Hiki ni kipindi cha usajili ambapo vilabu mbalimbali vya mpira wa miguu duniani vinawania saini za wachezaji ambao wataimairisha vikosi vya timu zao.

Kipindi hiki kimekua na tetesi nyingi zikiwahusisha wachezaji kununuliwa au kuuzwa na vilabu vyao.

Huko barani Ulaya katika ligi kuu ya Uingereza “EPL” tetesi kubwa ni kuhusu winga wa Manchester City Benardo Silva ambae klabu yake ipo tayari kupokea dau la Euro millioni 45 mpaka 50 ili kumuuza.

Upande mwingine klabu ya Newcastle United wana nia ya kumnunua beki wa England Marc Guehi mwenye umri wa miaka 22, kutoka Crystal Palace kwa ada ya takriban £60m.

Endelea Kusoma

Mfalme Salman wa Saudi Arabia aongoza kikao cha baraza la Mawaziri baada

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya