Ugonjwa wa shinikizo la damu umeongezeka Tanzania Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa shinikizo la damu la juu umeongezeka mpaka kufikia ongezeko la 95% Afya May 18, 2023 Soma Zaidi
Mtaala mpya wa elimu kuibua vipaji May 17, 2023 Elimu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema inaboresha mitaala ya elimu iliyojikita katika utoaji wa ujuzi utakaowawezesha wahitimu kujiajiri
‘Toto Afya ilihatarisha uhai wa Bima ya Afya’ May 16, 2023 Afya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kifurushi cha Toto Afya card kingehatarisha uhai wa mfuko wa Bima wa Afya NHIF
Kuna watu wachache wanasababisha mgomo kariakoo May 16, 2023 Jamii, Uchumi Mwenyekiti wa wafanyabiashara kariakoo Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache
Tanesco hawahusiki kukatika umeme Bungeni May 15, 2023 Teknolojia Shirika la umeme nchini TANESCO wamesema hawahusiki na kukatika na umeme Bungeni ni shida ndani ya Bunge
Waziri Mkuu afika kariakoo May 15, 2023 Jamii, Uchumi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamua kufika leo na kuzungumza na wafanyabiashara wa kariakoo badala ya siku ya Jumatano
Waziri Mkuu aingilia kati wafanyabiashara kariakoo May 15, 2023 Jamii, Uchumi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema atakutana na wafanyabiashara wa kariakoo siku ya jumatano na kuwataka wafungue maduka
Serikali kuongeza huduma ya mawasiliano May 14, 2023 Teknolojia Serikali inaenda kuongeza minara yenye uwezo wa kutoa huduma ya teknolojia ya 3G na 4G katika maeneo mbalimbali nchini
Rais Samia ataka makampuni ya simu yapunguze gharama May 14, 2023 Teknolojia Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani ameagiza kampuni za mawasiliano kubuni teknolojia ya gharama nafuu
Zitto amuelezea Membe May 14, 2023 Jamii, Siasa Zitto Kabwe ameelezea namna ambavyo alimfahamu Benard Membe katika kipindi cha uhai wake
Nape aomba radhi kwa niaba ya Membe May 14, 2023 Jamii, Siasa Waziri wa Habari Nape Nauye amesema anaomba radhi kwa wake watakao kwazika na yale yaliyoandikwa kwenye kitabu cha marehemu Membe
Tanzia: Membe amefariki May 12, 2023 Jamii, Siasa Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani Benard Membe amefariki dunia mapema asubuhi ya leo
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma