ZINAZOVUMA:

Wakazi anataka kusilimu?

Msanii wa Hip Hop Webiro Wasira 'Wakazi' amesema amevutiwa na...

Share na:

Msanii maarufu Tanzania na Afrika Mashariki anayeishi Marekani Webiro Wasira “Wakazi” amesema kuwa watu wasishangae kama ikitokea wakasikia kuwa ameingia katika dini ya Uislamu (kuslimu).

Wakazi ameandika kwenye ukurasa wake wa X baada ya kushuhudia dereva aliyekuwa amemkodi kushuka kwenye gari na kuswali swala ya Al asr pembezoni mwa barabara huko Houston Marekani.

Wakazi ameandika

” Mkisikia nimeslimu msishangae… I have witnessed the most heart melting thing in my life today.

This taxi/uber driver amechelewa kwenda masjid, na Asr ikamkutia njiani, ametoa mkeka na kuswali kwenye jua la 5pm in Houston.

what?! I have never witnessed faith ya level hii”

Endelea Kusoma

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya