WHO yaipongeza Tanzania Shirika la Umoja wa Afya duniani WHO limeipongeza Tanzania kwa uwezo wake wa kukabiliana na magonjwa ya mlipuko Afya May 30, 2023 Soma Zaidi
Mauritania: Vyama pinzani vyalalamikia uchaguzi May 30, 2023 Siasa Vyama pinzani nchini Mauritania vyalalamikia uchaguzi kuwa haukua huru na wahaki
Zelenskiy ataka Iran iwekewe vikwazo May 29, 2023 Siasa Raisi wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy anataka nchi ya Iran iwekewe vikwazo sababu inaipatia silaha Urusi
Zaidi ya watu 800 wanalala bila kula May 29, 2023 Jamii, Maafa Zaidi ya watu 800 wanalala bila kula kila siku kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la chakula duniani
China yatengeneza ndege zake yenyewe May 27, 2023 Teknolojia Shirika la ndege la nchini China limekua shirika la kwanza kutengeneza ndege zake kupitia kampuni ya nchini humo
Atumikia miaka 33 gerezani bila hatia May 27, 2023 Jamii Aliyetumikia zaidi ya theluthi mbili ya kifungo cha miaka 45 akutwa hana hatia baada ya uchunguzi nchini marekani.
Ramaphosa asisitiza msimamo wake May 27, 2023 Siasa Raisi wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesisitiza kuwa nchi yake haitafungamana na upande wowote katika vita vya Magharibi
Ukraine na Rwanda kushirikiana May 27, 2023 Siasa Ukraine na Rwanda wametia saini mkataba wa kushirikiana katika biashara, uwekezaji, Ujenzi na elimu.
Afariki akiwavusha bata barabara May 23, 2023 Jamii Amefariki kwa kugongwa na gari wakati akiwasaidia bata kuvuka barabara
Waamuzi sita wafungiwa kisa Vinicius Junior May 23, 2023 Michezo Shirikisho la soka nchini Hispania na kamati ya ufundi ya waamuzi imewatimua waamuzi sita kwa kumuonesha kadi nyekundu Vini Jr
China yaipiga marufuku kampuni ya Marekani May 22, 2023 Siasa, Teknolojia China imepiga marufuku bidhaa zinazotengenezwa na kampuni ya teknolojia ya micron kutoka nchini Marekani
Bandari ya Dar es salaam yaipiku bandari ya Mombasa May 22, 2023 Uchumi Bandari ya Dar es salaam imefanya vizuri katika orodha ya benki ya dunia na kuonekana kuongeza ufanisi kwa miaka ya
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma