ZINAZOVUMA:

Mauritania: Vyama pinzani vyalalamikia uchaguzi

Vyama pinzani nchini Mauritania vyalalamikia uchaguzi kuwa haukua huru na...

Share na:

Katika uchaguzi wa wabunge uliofanyika mwezi Mei nchini Mauritania, chama tawala cha Hizb Ensaf pamoja na washirika wake walipata wabunge 107 kati ya 176. Vyama vya upinzani vimelalamikia uchaguzi huo na kuomba urudiwa ili kuondoa changamoto walizoziona katika uchaguzi huo.

Uchaguzi huo ulianza tarehe 3 mwezi mei na hatua ya pili ya uchaguzi huo umekamilishwa tarehe 27 mwezi mei kwa uchindi huo kwa chama tawala na washirika wake.

Muundo huo wa chama tawala kuchukua karibu theluthi mbili ya bunge zima unaweza kuanza kufanya kazi ikiwa wapinzani hawakukata rufaa hadi uchaguzi ujao utakaofanyika mwaka 2028.

Endelea Kusoma

Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya