Messi aomba radhi Lionel Messi ameomba radhi kwa viongozi wa klabu ya PSG na wachezaji wenzake baada ya kuondoka kambini kwenda kwenye biashara zake Michezo July 3, 2023 Soma Zaidi
Saudi Arabia yataka kujiunga BRICS July 3, 2023 Uchumi Saudi Arabia na nchi nyingne za kiarabu zinazozalisha mafuta zimetuma maombi rasmi ya kujiunga na umoja wa nchi za BRICS
Benki ya dunia imemteua Raisi mpya July 3, 2023 Uchumi Benki ya dunia imemteua Ajay Banga mwenye asili ya kihindi kuwa raisi wa benki hiyo kwa muda wa miaka mitano
MWANAHARAKATI WA KIMAREKANI AFARIKI June 18, 2023 Habari, Jamii, Siasa, Uchumi Daniel Ellsberg, mchambuzi wa ya masula kijeshi wa Marekani aliyevujisha siri nyingi za Vita vya Vietnam zilizojulikana kama "Pentagon Papers",
Microsoft kulipa faini ya Tsh Bilioni 47 June 7, 2023 Teknolojia Kampuni ya Microsoft italipa faini ya shilingi bilioni 47 kwa kuhifadhi taarifa binafsi za watoto waliojiunga na mchezo wa Xbox
Zlatan astaafu kucheza soka la kulipwa June 6, 2023 Michezo Zlatan Ibrahimovic ametangaza kustaafu kucheza mpira wa kulipwa akiwa tayari amefikisha umri wa miaka 41
Opec+ zakubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta June 6, 2023 Biashara, Uchumi Nchi zinazozalisha mafuta za OPEC+ zimeweka wazi mpango wao wa kupunguza uzalishaji wa mafuta ili bei ipabde
Barcelona hawana nia na Messi June 2, 2023 Michezo Klabu ya Barcelona haijatuma ofa yeyote mpaka sasa ya kuhitaji huduma ya nyota wao wa zamani Lionel Messi
Urusi na Burundi kushirikiana kwenye nishati ya nyuklia May 31, 2023 Teknolojia Urusi na Burundi zimeingia makubaliano ya kushirikiana katika nishati ya nyuklia na kuanzisha mitambo ya atomiki
Afrika Kusini watunga sheria kumkwepa Putin May 31, 2023 Siasa Afrika Kusini inatunga sheria mpya ambayo itaiweka sehemu salama dhidi ya uamuzi wa kumkamata Raisi wa Urusi Vladimir Putin
Biden akasirishwa na sheria ya ushoga Uganda May 30, 2023 Jamii, Siasa Raisi wa marekani Joe Biden amepinga vikali sheria iliyopitishwa na Raisi wa Uganda kuhusu ushoga, atishia kuweka vikwazo
Makubaliano kusitisha mzozo, muda waongezwa Sudan May 30, 2023 Maafa, Siasa Makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Sudan yanatakiwa kuendelea kwa siku saba zaidi
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma