ZINAZOVUMA:

Opec+ zakubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta

Nchi zinazozalisha mafuta za OPEC+ zimeweka wazi mpango wao wa...

Share na:

Nchi zinazozalisha mafuta za OPEC zimekubaliana kuendelea kupunguza uzalishaji wa mafuta ikiwa ni jitihada zao za kupandisha bei ya nishati hiyo.

Saudi Arabia ilisema itapunguza uzalishaji wa mafuta kwa siku kuanzia Julai ikiwa ni malengo ya OPEC+ kufikia 2024 mafuta yawe yamepungua kwa milioni 1.4.

OPEC+ inachangia karibu zaidi ya asilimia 40% ya mafuta yasiyosafishwa duniani kote na maamuzi yake yanaweza kuwa na athari kubwa kwa bei ya mafuta.

Mkutano wa saa saba wa Jumapili wa mataifa hayo tajiri kwa mafuta duniani yakiongozwa na Urusi, ulikuja wakati kuna hali ya kushuka kwa bei ya nishati na kuamua kufikia maamuzi hayo.

Endelea Kusoma

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya