ZINAZOVUMA:

Mfalme Charles III kutawazwa leo

Mfalme Charles III hatimae atatawazwa rasmi yeye pamoja na mkewe...

Share na:

Baada ya Siku 240 tangu kutokea Kifo cha Malkia Elizabeth II “QueenElizabethII” wa Uingereza, hatimaye leo Mei 6, 2023, Mtoto wake wa kwanza, Charles III atatawazwa rasmi kuwa Mfalme

Mfalme Charles ambae ndiye Mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth II atatawazwa pamoja na Mke wake Camilla ambaye anajulikana kama “Queen Consort” kisha kuvishwa taji kama Mfalme wa 40 kuongoza Nchi hiyo iliyokuwa ndani ya utawala wa kifalme tangu mwaka 1066.

Sherehe inatarajiwa kuhudhuriwa na Wageni zaidi ya 10,000, kati yao 5,000 watakuwa Askari wa Usalama, 2,000 Wageni Waalikwa wakiwemo Viongozi wa Mataifa 90 na Wafalme 2 waliothibitisha kuwepo.

Endelea Kusoma

Mfalme Salman wa Saudi Arabia aongoza kikao cha baraza la Mawaziri baada

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya