Rais Misri ahimiza uzazi wa mpango akihofia njaa Raisi wa Misri amesema wananchi wake wanatakiwa kuzingatia uhuru wa kuzaliana kwani inaweza kusababisha janga kwa Taifa Jamii, Maafa September 7, 2023 Soma Zaidi
Marekani imemuwekea vikwazo Jenerali Dagalo wa Sudan September 7, 2023 Siasa Marekani imeamua kumuwekea vikwazo Jenerali wa RSF wa Sudan kwa kusababisha mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu
Mahakama yatupilia mbali kesi kupinga ushindi wa Rais Nigeria September 7, 2023 Siasa Mahakama nchini Nigeria imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na upinzani kupinga ushindi wa Rais wa Nigeria Bola Tinubu
Niger inatarajiwa kufikia makubaliano na ECOWAS September 5, 2023 Siasa Waziri Mkuu alieteuliwa nchini Niger amesema kuwa mazungumzo baina yao na ECOWAS yanaenda vzuri na muafaka utapatikana
Mkutano kujadili mabadiliko ya mifumo ya chakula Afrika September 5, 2023 Kilimo Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula barani Afrika umeanza rasmi hii Leo huku Tanzania ikiwa ndio mwenyeji wa mkutano huo
Falme za Kiarabu kuisaidia Afrika mabadiliko tabia ya nchi September 5, 2023 Mazingira Nchi mbalimbali zimetoa ahadi ya kutoa pesa kuisaidia Bara la Afrika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia ya nchi
Onana kurejea tena kuitumikia timu yake ya Taifa ya Cameroon September 5, 2023 Michezo Golikipa wa Manchester United Andre Onana amekubali kurejea tena kuichezea timu yake ya Taifa baada ya kutangaza kustaafu mwaka jana
Viongozi wa Afrika kutafuta suluhu mabadiliko tabia ya nchi September 4, 2023 Mazingira Viongozi wa Afrika wamekutana nchini Kenya kujadili na kutafuta suluhu juu ya changamoto za mabadiliko ya tabia ya nchi
Niger waandamana kuyaondoa majeshi ya Ufaransa September 4, 2023 Siasa Wananchi nchini Niger wameandamana kwa siku tatu mfululizo kushinikiza kuondoka kwa wanajeshi wa Ufaransa nchini kwao
Rais wa Cameroon afanya mabadiliko ya jeshi akihofia kupinduliwa September 1, 2023 Siasa Raisi wa Cameroon Paul Biya amefanya mabadiliko katika Wizara ya Ulinzi na kuteua viongozi wapya wa jeshi la nchi hiyo
63 wapoteza maisha kwa moto Johannesburg August 31, 2023 Maafa Zaidi ya watu 63 wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya Moto iliyotokea jijini Johannesburg
Brice Nguema Raisi wa mpito Gabon August 31, 2023 Siasa Wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Gabon wamemchagua jenerali Brice Nguema kuwa Raisi wa mpito wa nchi hiyo