WHO yaidhinisha chanjo ya pili ya malaria Shirika la Afya Duniani WHO limeidhinisha chanjo ya pili dhidi ya ugonjwa wa malaria na tayari imeanza kutumika Afrika Afya October 3, 2023 Soma Zaidi
Siku tatu za maombolezo baada ya kupoteza askari 29 Niger October 3, 2023 Maafa Uongozi wa kijeshi nchini Niger umetoa siku tatu za maombolezo baada kuuwawa kwa wanajeshi wake 29 na waasi
Dkt Ndumbaro aikaribisha Al Ahly kufungua ‘Academy’ Tanzania October 2, 2023 Michezo Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro ameikaribisha timu ya Al Ahly kufungua 'Academy' Tanzania
Marekani yatishia kusitisha msaada wa kijeshi Misri October 2, 2023 Siasa Misri inashutumiwa na watetezi wa haki za binadamu kuhusika na mateso dhidi ya wapinzani wa kisiasa
500 hawajulikani walipo mpaka leo kisa kimbunga Freddy September 27, 2023 Jamii, Maafa Toka kutokea kwa kimbunga Freddy nchini Malawi hadi hivi sasa zaidi ya watu 500 hawajapatikana
Marekani yatangaza kusitisha msaada Gabon September 27, 2023 Siasa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ametangaza kuwa nchi yake itasitisha misaada uliyokuwa inaitoa kwa nchi ya Gabon
8 wafariki kwa shoti ya umeme baada ya mvua kubwa Afrika Kusini September 27, 2023 Jamii Watu 8 wakiwepo watoto wa nne wamepoteza maisha baada ya kupigwa na shoti ya umeme uliosababishwa na mvua kubwa siku kadhaa
Mali yahairisha uchaguzi kufanya mabadiliko ya katiba September 26, 2023 Siasa Uongozi wa kijeshi nchini Mali umeghairi kufanya uchaguzi wa Urais 2024 mpaka utakapofanya marekebisho ya katiba
Mamia wafariki kwa kipindupindu na homa ya denge Sudan September 26, 2023 Afya Watu wengi wamepoteza maisha kutokana na mlipuko wa kipindupindu na homa ya denge unaosababishwa na ukosefu wa maji
Mjukuu wa Nelson Mandela afariki kwa saratani September 26, 2023 Afya Mjukuu wa Rais wa kwanza wa Afrika Kusini Nelson Mandela amefariki kwa ugonjwa wa saratani akiwa na miaka 43
Burkina Faso imelifungia jarida la Kifaransa la jeune Afrique September 26, 2023 Siasa Uongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso umelifungia jarida la Kifaransa la jeune Afrique baada ya kuandika ripoti zinazochochea uvunjifu wa
Ufaransa kuondoa wanajeshi wake Niger September 25, 2023 Siasa Raisi wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema nchi yake itaondoa wanajeshi wake na Balozi wake nchi Niger mwishoni mwa mwaka huu