PUTIN AVUNJA HOJA TOKA AFRIKA Katika hali isiyo ya kawaida Rais Putin amekataa mapendekezo mbalimbali ya usuluhishi baina ya Urusi na Ukraine kwa hoja lukuki. Habari June 18, 2023 Soma Zaidi
RAISI WA ANGOLA ATEUA GAVANA MPYA June 17, 2023 Siasa, Uchumi Rais wa Angola, Joao Lourenco, amteua Manuel Tiago Dias kuwa Gavana mpya wa benki kuu ya Angola kutoka Naibu Gavana
Raia 10 wa Congo wauawa Sudan June 7, 2023 Uhalifu Serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema raia wake 10 wameuwa katika shambulio la anga Sudan
Wafanyabiashara wa mahindi waliokwama Zambia waachiwa June 2, 2023 Biashara Shehena za mahindi zilizokuwa zimekwama mpakani mwa Tanzania na Zambia zimeruhusiwa baada ya mazungumzo ya kidiplomasia
Museven asema sheria haitobadilika June 2, 2023 Jamii Raisi wa Uganda amesema sheria aliyoitia saini imekamilika na hakuna kitakachobadilika
Mwandishi nguli Afrika afariki May 31, 2023 Elimu Mwandishi nguli barani Afrika amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81
Tinubu kuapishwa leo Nigeria May 29, 2023 Siasa Gavana wa zamani wa Lagos Bola Ahmed Tinubu anatarajiwa kuapishwa leo hii huku viongozi mbalimbali wakiwasili kushuhudia
Ramaphosa asisitiza msimamo wake May 27, 2023 Siasa Raisi wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesisitiza kuwa nchi yake haitafungamana na upande wowote katika vita vya Magharibi
Cameroon: Waasi wateka wanawake 30 May 25, 2023 Jamii, Uhalifu Waasi nchini Cameroon wameteka wanawake zaidi ya 30 huku wakiwajeruhi wengine zaidi baada ya kushindwa kuwapa fedha
Maadhimisho ya miaka 60 Umoja wa Afrika May 25, 2023 Siasa Leo Afrika inaadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa umoja wa nchi huru za Afrika
Zimbabwe yashutumiwa kuwaachia ‘wabakaji’ May 25, 2023 Jamii, Uhalifu Wafungwa walioachiwa kwa msamaha wa raisi Zimbabwe wanajumuisha wabakaji wa watoto
Afrika Kusini: Umeme unashusha uchumi May 23, 2023 Uchumi Kukatika kwa umeme mara kwa mara kunasababisha kuzorota kwa hali ya uchumi nchini Afrika Kusini