ZINAZOVUMA:

Wayahudi wakiwasha hadi kwa Netanyahu

Wayahudi waingia mtaani kushinikiza serikali ya Netanyahu kushughulikia ndugu zao...

Share na:

Ndugu wa wayahudi waliochukuliwa mateka na Hamas, wameamua kufanya maandamano kushinikiza kuachiwa kwa ndugu zao.

Wayahudi hao wameamua kuandamana hadi nyumbani wa Netanyahu, na kuendeleza maandamano hayo kwa siku 5 mfululizo.

Watu hao wameandmana wakiwa wamebeba picha mbalimbali za ndugu zao, huku kuta za maghorofa pembeni yao zikiwa na mabango ya mateka.

Zaidi ya watu 240 wametekwa na wanaosadikiwa kuwa wapiganaji wa Hamas, wakiwamo watoto 30.

Endelea Kusoma

Mfalme Salman wa Saudi Arabia aongoza kikao cha baraza la Mawaziri baada

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya