Njia ya Tanzania kufuzu kombe la dunia 2026 Ndroo ya makundi kufuzu kombe la dunia imechezeshwa na Tanzania imepangiwa kundi moja na timu za; Michezo July 14, 2023 Soma Zaidi
CAF yafanya mabadiliko “Super League” July 14, 2023 Michezo Shirikisho la Mpira Barani Afrika CAF limebadilisha jina la mashindano ya Super League na kuitwa African football League
Apple Kuweka Mabadiliko ya Bei kwenye Programu ya “App Store” kwa Tanzania, Nigeria, Misri, na Uturuki July 13, 2023 Biashara, Habari, Teknolojia Nchi za Tanzania, Misri, Nigeria na Uturuki zimekumbwa na mabadiliko ya bei katika App store kutokana na mabadiliko mbalimbali.
Jay Jay Okocha apewa uwaziri Nigeria July 12, 2023 Michezo Mchezaji wa zamani wa nchini Nigeria Jay Jay Okocha ameteuliwa kuwa Waziri wa michezo, vijana na Maendeleo
Tinubu Mwenyekiti mpya ECOWAS July 11, 2023 Siasa Umoja wa nchi za ukanda wa Afrika Magharibi umemchagua Raisi wa Nigeria Bola Tinubu kuwa Mwenyekiti wa umoja huo.
Sudan yagomea mkutano wa kutafuta amani July 11, 2023 Maafa, Siasa Serikali ya Sudan imegoma kushiriki mkutano wa kikanda wa kutafuta amani huku ikiishutumu Kenya kupendelea.
Ramaphosa awaalika viongozi wa Afrika mkutano wa BRICS July 10, 2023 Siasa, Uchumi Raisi wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amewaalika viongozi wa Afrika katika mkutano wa umoja wa nchi za BRICS mwezi ujao.
Boti yenye zaidi ya wahamiaji 200 yapotea July 10, 2023 Jamii, Maafa Zaidi ya watu 200 waliokuwa kwenye mashua wakitokea nchini Senegali hawaonekani walipo kwa zaidi ya wiki sasa.
Raisi wa Gabon asema atagombea tena July 10, 2023 Siasa Raisi wa Gabon Ali Bongo amesema kuwa ana nia ya kugombea tena katika muhula wa tatu kwenye uchaguzi utakaoganyika mwezi
Sonko kuharibu uchaguzi Senegal July 8, 2023 Siasa Kiongozi wa upinzani nchini Senegal amesema atavuruga uchaguzi wa mwakani ikiwa hatoruhusiwa kugombea
Tanzania na Zambia yakubaliana kuhusu bomba la mafuta July 8, 2023 Biashara Tanzania na Zambia zimekubaliana kuimarisha ulinzi katika eneo ambalo bomba la mafuta linapita katika nchi hizo mbili
Kramo ‘Chuma’ Kipya Msimbazi July 7, 2023 Michezo Klabu ya soka ya Simba imetangaza kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Assec Mimosa, Aubin Kramo kwa mkataba wa miaka