ZINAZOVUMA:

Boti yenye zaidi ya wahamiaji 200 yapotea

Zaidi ya watu 200 waliokuwa kwenye mashua wakitokea nchini Senegali...

Share na:

Waokoaji wa Uhispania wapo katika Visiwa vya Canary kutafuta mashua iliyobeba wahamiaji wasiopungua 200 wa Kiafrika ambao walitoweka zaidi ya wiki moja iliyopita.

Kundi la misaada la Walking Borders linasema mashua hiyo ya wavuvi ilisafiri kutoka Kafountine, mji wa pwani kusini mwa Senegal.

Idadi kubwa ya watoto inasemekana kuwemo ndani ya mashua hiyo hayo yameelezwa na shirika la habari la Efe la nchini Hispania.

Aidha, boti nyingine mbili zilizobeba Watu 65 na 60 nazo zinadaiwa kupoteza, hivyo kufanya idadi ya ambao hawajulikani walipo ndani ya wiki moja kuwa zaidi ya Watu 325

Endelea Kusoma

Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya