ZINAZOVUMA:

Njia ya Tanzania kufuzu kombe la dunia 2026

Ndroo ya makundi kufuzu kombe la dunia imechezeshwa na Tanzania...

Share na:

Droo ya kufuzu kombe la dunia Kwa mwaka 2026 imechezeshwa na kila timu kupangwa katika kundi lake.

Katika droo iliyochezeshwa, makundi 9 yenye timu 6 yamepangwa huku timu ya Taifa ya Tanzania TaifaStars ikipangwa Kundi moja na timu za Taifa za Zambia, Morocco, Congo, Niger na Eritrea.

Mechi za Kufuzu zitaanza Novemba 2023, na Washindi wa kila Kundi watafuzu moja kwa moja kwenda kushiriki Kombe la Dunia katika nchi za Canada, Mexico na Marekani

Timu 4 bora zilizoshika nafasi ya pili Kutoka katika kila Mkundi zitacheza mechi za mtoano kupata timu ya moja ambayo itakamilisha timu 10 kutoka Afrika itakayoshiriki Kombe la Dunia.

Endelea Kusoma

Vyombo vya Habari nchini Iran vimeanza kutangaza kifo cha Rais Ebrahim Raisi,