ZINAZOVUMA:

Jay Jay Okocha apewa uwaziri Nigeria

Mchezaji wa zamani wa nchini Nigeria Jay Jay Okocha ameteuliwa...

Share na:

Mchezaji wa zamani maarufu nchini Nigeria Augustine Okocha almaarufu Jay Jay Okocha , 46, ameteuliwa kuwa Waziri wa Michezo, Vijana na Maendeleo, na Rais mpya wa Jamhuri ya Shirikisho la Nigeria, Bola Tinubu.

Okocha alicheza Eintracht Frankfurt, Fenerbahçe, Paris Saint Germain (PSG), na Bolton , na timu ya taifa alicheza kati ya miaka ya 1993 na 2006 ni bingwa wa Olimpiki mwaka wa 1996, mshindi wa CAN 1994, 2000.

Pia aliingia kwenye kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa CAN 2004.

Jay Jay Okocha alijulikana uwanjani kwa kupiga chenga zake za kutatanisha na pia uhodari wake wa upigaji wa mipira iliyokufa, hivi sasa ni waziri.

Endelea Kusoma

Vyombo vya Habari nchini Iran vimeanza kutangaza kifo cha Rais Ebrahim Raisi,