ZINAZOVUMA:

Ramaphosa awaalika viongozi wa Afrika mkutano wa BRICS

Raisi wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amewaalika viongozi wa Afrika...

Share na:

Raisi wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amewaalika viongozi wote wa Bara la Afrika kushiriki katika mkutano wa umuoja wa nchi za BRICS unatarajiwa kufanyika mwezi ujao mjini Johannesburg nchini humo.

Mkutano huo unajadili namna viongozi wa Nchi za BRICS wanaweza kushirikiana na viongozi wa Afrika ili kulifanya Bara la Afrika kukua kiuchumi.

Nchi zilizoalikwa ni pamoja na nchi wanachama wa jumuiya ya Umoja wa Afrika, jumuiya za umoja wa kikanda pamoja na wafanyabiashara wakubwa barani Afrika.

Muungano huo wa BRICS unajumuisha nchi za Brazil, Urusi, India, China, pamoja na Afrika Kusini. Hata hivyo kumekua na maombi kutoka nchi za kiarabu kujiunga na umoja huo.

Endelea Kusoma

Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya