Somalia: leta bidhaa yenye vyeti vya ubora Katika kuhakikisha ubora wa bidhaa zinazoingia na zinazotoka nchini Somalia, nchi hiyo imeagiza bidhaa ziwe na vyeti vya ithibati. Biashara, Uchumi August 20, 2023 Soma Zaidi
Vyama saba vyaungana kushinda uchaguzi August 18, 2023 Siasa Vyama saba vya upinzani Afrika Kusini vimeungana ili kushinda uchaguzi ujao dhidi ya chama tawala cha ANC
70 wafariki kwa surua Sudan Kusini August 17, 2023 Afya Watoto zaidi ya 70 wamepoteza maisha nchini Sudan Kusini kutokana na ugonjwa wa surua
Uamuzi wa kuivamia Niger kujadiliwa leo August 17, 2023 Siasa Viongozi wa kijeshi wa Jumuiya ya ECOWAS wanakutana leo nchini Ghana kujadili kuhusu kuivamia Niger ili kurudisha demokrasia
Uhasama washika kasi nchi za Afrika Magharibi August 15, 2023 Siasa Niger imewarudisha nyumbani mabalozi wake waliokuwa katika nchi za Ivory Coast pamoja na Nigeria
Waandamanaji zaidi ya 70 wapoteza maisha Ethiopia August 14, 2023 Maafa Zaidi ya waandamanaji 70 wamepoteza maisha baada ya kushambuliwa na jeshi la Ethiopia katika eneo la Amhara
Rais aliyepinduliwa kufunguliwa mashatka Niger August 14, 2023 Siasa Jeshi nchini Niger limetangaza kumfungulia kesi Rais Mohamed Bazoum kumtuhumu kwa makosa ya uhaini alioifanyia nchi hiyo
kituo cha redio chafungiwa Burkina Faso August 11, 2023 Siasa Burkina Faso imefungia moja ya redio nchini humo kwa kufanya kipindi chenye lengo la kukosoa uongozi wa kijeshi nchini Niger
EU yaingilia mzozo Niger August 11, 2023 Siasa Umoja wa Ulaya umekosoa kinachoendelea Niger na kuamua kuiunga mkono ECOWAS katika juhudi za kurudisha amani nchini humo
Ethiopia yafanya msako kupinga ushoga August 11, 2023 Jamii Mamlaka nchini Ethiopia imefanya msako katika maeneo yote ya burudani ili kukamata watu wote wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja
ECOWAS yapeleka kikosi Niger August 11, 2023 Siasa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi ECOWAS imeidhinisha kupeleka kikosi cha jeshi nchini Niger ili kwenda kurudisha amani
Niger yatangaza serikali ya mpito August 10, 2023 Siasa Jenerali Abdourahmane Tchiani ametangaza serikali mpya ya mpito licha ya kuwepo msukumo wa kutakiwa kumrudisha Rais Bazoum