ZINAZOVUMA:

Tundu Lissu akutana na wafanyabiashara kariakoo

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu...

Share na:

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema mfumo na viwango vya kodi vinapaswa kuwa wazi ili anayelipa ajue analipa kiasi gani na anayekusanya ajue anakusanya kiasi gani.

Lissu ameeleza hayo leo Jumatano Julai 5, 2023 alipokutana na wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo na kuzungumza nao.

Amedai kilio cha wafanyabiashara wengi kinatokana na maamuzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hivyo kuna haja ya kubadilisha mfumo wa ulipaji kodi.

Haya masuala yanahitaji mabadiliko ya mifumo wa ulipaji kodi na sheria zetu za kodi, vilevile yanahitaji mabadiliko ya wakusanyaji wa kodi,”

Endelea Kusoma

Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya