ZINAZOVUMA:

Wananchi Libya wadai fidia na kulaumu Bunge kwa uzembe

Wananchi nchini Libya wameandamana wakiishtumu serikali kwa uzembe kutokana na...

Share na:

Wananchi na wakazi wa Derna nchini Libya, mji ulioathiriwa na mafuriko makubwa yaliyosababisha vifo vya watu zaidi ya tatu na kuwaacha maelfu bila makaazi, wameandamana, kulishtumu Bunge na kutaka wale wote ambao hawakuajibika kuzuia janga hilo kuajibishwa.

Waandamanaji hao wamemtuhumu kiongozi wa Bunge la eneo la mashariki, Aguila Saleh na mamlaka kwenye eneo hilo kwa kutowajibikia kuchukua tahadhari kwa mafuriko hayo ambayo yamesababisha vifo kwa raia.

Katika taarifa ya pamoja, waandamanaji hao wamesema wanataka uchunguzi wa haraka kufanyika kuhusu janga hilo na sheria kuchukuliwa dhidi ya viongozi wasiowajibika

Aidha Pia waandamanaji hao wameda fidia pamoja na uchunguzi juu ya fedha za jiji na ujenzi wa Derna ulioharibiwa.

Endelea Kusoma

Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya