Serikali ya Kenya yarudisha ruzuku ya mafuta Serikali nchini Kenya imebadilisha msimamo wake na kuuamua kurudisha ruzuku ya mafuta huku ikipambana bei ya bidhaa hiyo isipande Nishati August 15, 2023 Soma Zaidi
Museven aijibu Benki ya Dunia August 10, 2023 Siasa Raisi wa Uganda Yoweri Museven amesema nchi yake itaendelea kwa mikopo au bila mikopo lakini itaendelea
Mazungumzo kutafuta amani kufanyika Kenya August 9, 2023 Siasa Serikali nchini Kenya na chama pinzani cha Azimio kinachoongozwa na Raila Odinga wanatarajia kufanya mazungumzo ya kutafuta suluhu
Benki ya dunia yasitisha msaada kwa Uganda August 9, 2023 Siasa Benki ya dunia imetangaza kusitisha msaada kwa nchi ya Uganda baada ya nchi hiyo kupitisha sheria dhidi ya wanaojihusisha na
Ajali nyingne, ziwa Victoria August 3, 2023 Jamii Watu 20 wamepoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama maji kwenye ziwa Victoria nchini Uganda
Sababu ya kushuka thamani kwa sarafu za EAC August 3, 2023 Biashara, Uchumi Uzalishaji mdogo na utegemezi wa bidhaa kutoka nje ndio sababu ya kushuka thamani kwa sarafu za Afrika Mashariki
Kenya yasimamisha mradi wa ‘WorldCoin’ August 2, 2023 Teknolojia Serikali nchini Kenya imetangaza kuusimamisha shughuli zote zinazofanywa na mradi wa 'WorldCoin' mpaka pale watakapothibitishiwa usalama wake
Ruto atoa sharti kwa Odinga July 31, 2023 Siasa Raisi wa Kenya William Ruto amesema yupo tayari kukutana na Raila Odinga lakini kabla ya mazungumzo ametoa sharti linalotakiwa kutekelezwa
Kenyatta na Odinga pamoja kwenye maombolezo July 28, 2023 Siasa Raisi mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta amejumuika na kiongozi wa upinzani Raila Odinga katika ibada ya kuwaaga waliofariki wakati wa
Rais Ruto yupo tayari kuzungumza na Odinga July 26, 2023 Siasa Raisi wa Kenya William Ruto amesema yupo tayari wakati wowote kukutana na Raila Odinga na kufanya mazungumzo ya kutafuta amani
Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari kwa raia wake waliopo Kenya July 26, 2023 Siasa Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa ushauri kwa raia wake kutulia majumbani ili kulinda usalama wao kutokana na hali inayoendelea
Kenya Tupo pamoja nao -STAMICO July 25, 2023 Madini Shirika la Madini Tanzania limeahidi kushirikiana na sekta ya madini kenya, ni hatua ya kukuza sekta hiyo nchini Kenya na
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma