ZINAZOVUMA:

Kenya Tupo pamoja nao -STAMICO

Shirika la Madini Tanzania limeahidi kushirikiana na sekta ya madini...
STAMICO na wadau wa madini Toka Kenya

Share na:

Shirika la Madini la Taifa, Tanzania (STAMICO), limeahidi kuisaidia nchi ya Kenya katika sekta hiyo ya madini.

Mkurugenzi Mkuu wa STAMICO Bw.Venance Mwase ameyasema hayo huku akithibitisha kuwa watajitahidi kuwa bega kwa bega na Kenya, kwani hali ya miamba ya Kenya na Tanzania haina tofauti.

Shirika hilo limetoa kauli hiyo katika mchakato wa mazungumzo baina ya wadau wa madini kutoka Kenya na shirika hilo.

Wadau hao kutoka Kenya walikuwa nchini Tanzania kwa ziara ya kujifunza juu ya sekta ya madini.

Endelea Kusoma

Waziri Mkuu wa Slovakia amejeruhiwa vibaya katika jaribio lakutaka kumuua kwenye mji

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya