ZINAZOVUMA:

Odinga aongoza maandamano ya kumpinga Ruto

Raila Odinga amesema maandamano ya kupinga utawala wa Raisi Ruto...

Share na:

Kiongozi wa upinzani unaoongozwa na Muungano wa Azimio la Umoja One, Raila Odinga amesema maandamano ya kupinga Utawala wa Rais Ruto na Serikali yake yatafanyika leo Mei 2, 2023 licha ya Polisi kukataa kuwapa kibali.

Odinga amesema watawasilisha Pingamizi kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2022, Malalamiko kuhusu Gharama Kubwa za Chakula, Mafuta na Umeme pamoja na kupinga Uteuzi wa Kikabila unaodaiwa kufanywa na Rais Ruto.

Aidha, Odinga ameshikilia msimamo wake kuwa Upinzani unatumia haki yao ya Kikatiba ya Kukusanyika, Kuandamana, Kugoma na Kuwasilisha malalamiko kwa Mamlaka za Umma kwa amani na bila silaha.

Endelea Kusoma

Vyombo vya Habari nchini Iran vimeanza kutangaza kifo cha Rais Ebrahim Raisi,