ZINAZOVUMA:

Habari

Serikali ya Tanzania imewasilisha pingamizi lake la kuitaka Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya kutupilia mbali kesi ya bandari
Gharama za usafiri zimepanda mara mbili nchini Malawi huku wasafirishaji hao wakidai kutopata faida kutokana na gharama za mafuta kupanda.
Raisi wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema kuwa Raisi wa Urusi, Putin hatohudhuria mkutano wa BRICS badala yake atatuma muwakilishi
Mwalimu mkoani Kilimanjaro anatafutwa na jeshi la polisi baada ya kumchapa mtoto wa darasa la kwanza na kusababisha kifo chake
Mama wa Raisi aliyepita, Uhuru Kenyatta na Mke wa Hayati Jomo Kenyatta ameondolewa ulinzi katika makazi yake yote
Paspoti ya Tanzania imepanda nafasi saba ya viwango vya ubora ikishikilia nafasi ya 69 katika paspoti zenye nguvu duniani
Serikali ya Tanzania imesaini makubaliano na nchi ya Canada kupokea fedha zitakazo wasaidia wanafunzi katika mradi wa 'Kila Binti Asome'
Gharama za usafiri zimepanda mara mbili nchini Malawi huku wasafirishaji hao wakidai kutopata faida kutokana na gharama za mafuta kupanda.
Raisi wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema kuwa Raisi wa Urusi, Putin hatohudhuria mkutano wa BRICS badala yake atatuma muwakilishi

Chaguo la Mhariri

Makala Mpya