ZINAZOVUMA:

Risasi zasikika saa chache kabla ya ufunguzi wa kombe la dunia

Saa chache kabla ya ufunguzi wa kombe la dunia la...

Share na:

Shambulizi la risasi nchini New Zealand limesababisha vifo vya watu wawili ambalo limetokea saa chache kabla kufunguliwa kwa Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA nchini humo.

Katika shambulio hilo Watu wengine sita wakiwemo maafisa wa polisi wamejeruhiwa huku mtu aliyesababisha tukio hilo pia akifanikiwa kudhibitiwa.

Waziri Mkuu Chris Hipkins alisema shambulio hilo halikuonekana kama kitendo cha kigaidi na kuruhusu mashindano hayo kuendelea kama ilivyopangwa.

Waziri Mkuu alisema kuwa hakuna sababu za kisiasa au kiitikadi za shambulio hilo zilizotambuliwa mpaka sasa.

Endelea Kusoma

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya