ZINAZOVUMA:

Ulaya

Uturuki imeondoa pingamizi lake dhidi ya Sweden na kuiunga mkono ili kujiunga na umoja wa kijeshi wa nchi za Ulaya NATO .
Golikipa wa Manchester United David De Gea amemaliza mkataba wake ndani ya klabu hiyo na tayari amewaaga mashabiki.
Polisi nchini Uingereza wamekamata mimea ya Bangi na kukamata genge la wahalifu zaidi ya watu 1000 katika msako mkubwa.
Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa mchezaji Mason Mount kutokea klabu ya Chelsea mpaka 2028.
Prigozhin mrusi na swahiba mkubwa wa Putin awa mwiba wenye sumu. Aanzisha uasi kumng'oa Putin Madarakani. akimbilia Belarus baada ya
Benki ya HSBC imefanya tathmini ya kuangalia ni mahali gani panapofaa kwa ajili ya makao makuu yao na kufikia maamuzi

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya