ZINAZOVUMA:

Mount apewa mikoba ya Ronaldo

Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa mchezaji Mason Mount...

Share na:

Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa mchezaji kutokea Chelsea Mason Mount kwa ada ya Euro millioni 55.

Nyota huyo amesaini kuwatumikia ‘mashetani hao wekundu’ kwa muda wa miaka 5, mpaka mwaka 2028 huku kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi.

Mount amepewa jezi namba namba Saba 7, jezi ambayo ina historia kubwa na klabu ya Manchester United ikivaliwa na nyota mbalimbali waliopita katika timu hiyo kama vile Cristiano Ronaldo, Edison Cavan na wengine waliofanya makubwa na jezi hio.

Endelea Kusoma

Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya