ZINAZOVUMA:

Kitaifa

Kwa mandhari sharifu ya uwanja mpya wa Amaan. Kiwanja cha kisasa, skrini kubwa, vyumba vya kisasa, viti vya kisasa, hakuna wasiwasi wa mvua wala jua aah! Kwa hakika Dkt.Mwinyi apewe
Uongozi wa mradi wa EACOP ukiwakilishwa na Wendy Brown umegawa nyumba kwa wakazi mbalimbali wa mkoa wa Tanga.
Wilayani Hanang, vifo vingi vimetokea kutokana na mafuriko pamoja na tope lilisobabishwa na Mvua ya jumapili. Miili inaendelea kutafutwa
Shekhe Ponda akamatwa na Kikosi cha Kanda Maalum Mkoa wa Dar es Salaam, kabla ya maandmano ya amani yaliyopangwa kuanza
Ruvuma Basin image
Tanzania na Msumbiji zaingia makubaliano ya kushirikiana katika kuendeleza vitalu vilivyopo mpakani mwa nchi hizo kwa maslahi ya mataifa hayo
Chuo cha IIT Madras Zanzibar chafungua milango rasmi kwa kudahili wanafunzi 45 kutoka nchi 4 duniani, na wanawake wakichukua 40% ya wanafunzi
Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu akisema jambo Bungeni
Pendekezo la bajeti ya Tanzania yasomwa, ikiwa na ongezeko la Trlllioni 3, Sekta binafsi yapewa kipaumbele katika biashara na uwekezaji
Watanzania wawili waliokuwa wkaitafutwa na ubalozi wa Tanzania nchini Israel, wamethibitika kutekwa na Hamas katika mzozo unaoendelea
Msukuma gozi kutoka klabu ya Yanga, Jonas Gerard Mkude awadai Mohamed Enterprises wamlipe Bilioni 1 kwa kutumia picha zake kwenye matangazo

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya