ZINAZOVUMA:

IIT Madras Zanzibar yafungua milango

Chuo cha IIT Madras Zanzibar chafungua milango rasmi kwa kudahili...
Nishant Varshney akiwa mbele ya geti la kuingia katika kampasi ya IIT Madras Zanzibar eneo la Bweleo karibu na Mji wa Fumba

Share na:

Tawi la Chuo cha Teknolojia cha IIT Madras Zanzibar (IITM Zanzibar) kimeanza rasmi, na kudahili wanafunzi wa kwanza katika chuo hizo.

Uongozi wa chuo hicho ulitangaza kuwa, chuo hicho kitakuwa wazi kwa wanafunzi wote duniani.

Kwa wanafunzi wa kwanza wa chuo hicho wametoka nchi mbalimbali kama Zanzibar, Tanzania Bara, Nepal na India.

Pia wanafunzi waliodahiliwa ni 45 tu, ingawa wamedahiliwa kutoka nchi zaidi ya tatu duniani.

Chuo cha IIT Madras Zanzibar kipo kilomita 19 kutoka Stone town, katika mkoa wa Mjini Magharibi karibu na eneo maarufu la Fumba.

Endelea Kusoma

Waziri Mkuu wa Slovakia amejeruhiwa vibaya katika jaribio lakutaka kumuua kwenye mji

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya