FIFA yaifungia Yanga kusajili kwa kukiuka kanuni TFF yaifungia klabu ya Yanga baada ya klabu hiyo kufingiwa na FIFA kutokana na kukiuka kifungu cha kanuni ya uhamisho wa mchezaji. Habari April 12, 2024 Soma Zaidi
Mradi wa Mto Msimbazi “Jangwani” upo mbioni April 12, 2024 Maafa, Mazingira, Usafiri Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi asema "Mradi wa Mto Msimbazi "Jangwani" upo kwenye hatua nzuri mikononi mwa TARURA"
Waziri Mhagama: Ondokeni maeneo hatarishi April 12, 2024 Jamii, Maafa Waziri Jenista Mhagama awataka wananchi wa Halmashauri ya Mlimba kuondoka maeneo hatarishi kwa mafuriko kipindi hiki cha mvua.
TARURA kuunganisha kata mbili kwa bilioni 1.8 April 11, 2024 Biashara, Kilimo, Usafiri TARURA kuunganisha Kata mbili Wilayani Kilomberi Moani Morogoro kwa ujenga daraja la chuma pamoja na barabara ya changarawe kilomita 15
Polisi Tanzania kushiriki mafunzo na nchi nyingine 14 April 11, 2024 Jamii, Uhalifu Polisi Tanzania kuwa mwenyeji wa mafunzo ya pamoja kwa nchi 14 za Afrika mashariki ili kuongeza uwezo wa maafisa wa
Kiongozi wa Mwenge: Takukuru waleeni watoto wakatae rushwa April 11, 2024 Jamii TAKUKURU waagizwa kuwalea watoto kuanzia ngazi ya shule ya Msingi na kuendelea ili kuzalisha jamii ya wakataa rushwa nchi
Mama lishe Jela kwa kuishi kinyumba na mtoto April 11, 2024 Jamii, Uhalifu Mtwara: Mama lishe afungwa miaka 15 kwa kuishi kinyumba na mtoto wa miaka 15 na watu wengine wanne wafungwa miaka
Rais Samia Ahimiza wananchi kulipa Kodi April 11, 2024 Biashara, Jamii, Uchumi Katika Baraza la Idd el Fitr Rais samia awakemea wafanyabiashara wakwepa kodi, wasiotoa risiti na wanunuzi wasiodai ririti pindi wanaponunua
Shule ya Kivukoni A Ulanga yafungwa sababu ya mafuriko April 9, 2024 Jamii, Maafa, Usafiri Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Dkt. Julius Ningu asimamisha masomo shule ya Msingi Kivukoni A kutokana na shule hiyo kujaa
TAWA waweka Kambi Mlali kudhibiti mamba April 9, 2024 Jamii, Utalii Mamlaka ya uhifadhi wanyamapori nchini TAWA imepiga kambi kijiji cha Mlali wilayani Mvomero ili kudhibiti mamba ambao ni tishio kwa
Upinzani nchini TOGO kugomea mabadiliko ya katiba April 9, 2024 Siasa Wapinzani waingia mtaani kuwazindua wananchi juu ya mabadiliko ya katiba yanayopendekezwa nchini Togo, ambayo yamepitishwa mwezi Machi
Asikitishwa kwa kutokukamilika Zahanati ya Kasamwa Geita April 9, 2024 Jamii Mkuu wa Wilaya ya Geita asikitishwa na kusuasua kwa ujenzi wa Zahanati ya Kasamwa na kuagiza ikamilishwe mara moja