ZINAZOVUMA:

Kitaifa

Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali C.A.G asema hakuna uwajibikaji kwa viongozi na kumtaka Raisi Samia achukue hatua.
Serikali kupitia wizara ya Afya nchini imesema imenunua magari 727 ya kubebea wagonjwa ambayo yatasambazwa katika wilaya zote.
Raisi Samia amefanya mabadiliko ya vituo kwa mabalozi wawili na uteuzi wa Balozi mmoja watakaoiwakilisha Tanzania.
Bi. Kamala Harris na Mwenza wake wakishuka toka katika ndege ya makamu wa Rais wa Marekani
Makamu wa Raisi wa marekani Kamala Harris ameondoka nchini Tanzania baada ya kumaliza ziara yake ya kiserikali ya siku tatu.
Makamu wa Raisi wa marekani Kamala Harris amempongeza Raisi wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani kwa kuongoza nchi kwa kuzingatia
Mwenza wa Makamu wa Raisi wa marekani Kamala Harris, Douglas Emhoff ametembelea kituo cha kukuza vipaji vya michezo.
Waziri wa uwekezaji, viwanda na Biashara Dkt Ashatu Kijaji amekitaka kiwanda cha TBPL kujitangaza nje na ndani ya nchi.

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya