ZINAZOVUMA:

Ole Sendeka: “Wakubwa wachukuliwe hatua”

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka ametaka Raisi...

Share na:

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka amesema Raisi Samia anatakiwa achukue hatua kwa wale wanaojineemesha wenyewe kupitia pesa za serikali.

Ole Sendeka anasema

” Raisi Samia ameleta maendeleo katika nchi yetu halafu watu wachache waliopewa dhamana wanatumia nafasi hiyo kujineemesha wenyewe halafu mpaka leo imeisha wiki toka ripoti kutajwa na hatujasikia wakubwa kuchukuliwa hatua”.

Ameyasema hayo leo wakati akitoa mchango wake Bungeni ambapo Bunge limeanza leo tarehe 4 Machi.

Ambapo pamoja na mambo mengine Bunge litajadili na kupitisha bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024. Na miongoni mwa maeneo yanayoangaziwa zaidi ni sekta ya kilimo, Afya na Elimu.

Endelea Kusoma

Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya