ZINAZOVUMA:

Hii ndio sababu Sabaya kuachiwa.

Hii ndio sababu iliyofanya aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai...

Share na:

Baada ya aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya kuachiwa siku ya jana kumekua na maswali kuhusu uamuzi wa mahakama kufikia hatua hiyo .

Kwa mujibu wa wakili kutoka Avis Legal, Henry Mwinuka anasema kilichofanyoka ni “PLEA BARGAIN” ambao ni utaratibu wa kisheria unaoruhusu mtuhumiwa kuzungumza na mahakama.

Mtuhumiwa akikili kosa na kuwa tayari kulipa faini ya lile kosa alilofanya basi basi mahakama inatoa utaratibu wa kupunguziwa hukumu kwa mtuhumiwa au kutakiwa kulipa faini/fidia.

Sabaya alikua akikabiliwa na mashtaka Saba iliwepo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu.

Endelea Kusoma

Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya