ZINAZOVUMA:

Polepole apelekwa Cuba.

Raisi Samia amefanya mabadiliko ya vituo kwa mabalozi wawili na...

Share na:

Raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani amefanya mabadiliko ya vituo kwa mabalozi wawili na uteuzi wa Balozi mmoja.

Raisi Samia amempangia Balozi Humphrey Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba, pia amempangia Balozi Lt. Jenerali mstaafu Yacoub Mohammed kuiwakilisha Tanzania katika falme za kiarabu.

Amemteua Bw. Iddi Seif Bakari kuwa Balozi na kumpangia ubalozi nchini uturuki. Tarehe ya uapisho itatangazwa.

Endelea Kusoma

Vyombo vya Habari nchini Iran vimeanza kutangaza kifo cha Rais Ebrahim Raisi,