Toeni mishahara mapema. Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ally Mwinyi ameagiza wafanyakazi wa serikali walipwe mishahara yao mapema ili wajiandae na sikukuu ya Eid. Jamii, Siasa April 16, 2023 Soma Zaidi
Zaidi ya shule ishirini zachuana Ramadhani Quiz. April 16, 2023 Elimu, Jamii Zaidi ya shule ishirini zachuana katika mashindano ya Ramadhani Quiz yanayoandaliwa na taasisi ya An nahl trust jijini Dar es
Tusiruhusu maharamia kwenye soka. April 14, 2023 Habari Mkurugenzi wa sheria wa Yanga amesema kama mchezaji anataka kuvunja mkataba sheria zipo wazi na zinafahamika hadi FIFA hivyo ni
Yanga yalamba ubalozi. April 14, 2023 Jamii, Michezo Wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalumu imeitambulisha klabu ya Yanga kuwa Balozi wa kupambana na mmomonyoko
Serikali kufanyia kazi ripoti ya C.A.G. April 14, 2023 Siasa Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amesema serikali tayari imeanza kufanyia kazi ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti wa hesabu za serikali na
Serikali kusitisha matumizi ya kuni na mkaa. April 13, 2023 Jamii, Mazingira Serikali imetangaza kusitisha matumizi ya kuni na mkaa kwa taasisi binafsi na taasisi za umma ili kudhibiti uharibifu wa mazingira.
Dkt Mpango: Msifunge barabara muda mrefu. April 13, 2023 Jamii, Siasa Makamu wa Raisi Dkt Philip Isidory Mpango ameliagiza jeshi la polisi kutofunga barabara kwa muda mrefu wakati msafara wa viongozi
Raisi Samia atoa ajira za elimu na afya. April 12, 2023 Afya, Elimu, Siasa Raisi Samia kupitia wizara ya nchi OR- TAMISEMI ametoa ajira 21,200 kwa kada za ualimu na afya.
Waliofutiwa matokeo kidato cha nne kurudia mtihani. April 12, 2023 Elimu Wizara ya elimu imetoa nafasi kwa wanafunzi 337 waliofutiwa matokeo ya kidato cha nne kurudia mtihani.
Serikali kuanzisha kanzi data Kwa makundi maalumu ya damu. April 12, 2023 Afya, Teknolojia Serikali kupitia wizara ya Afya imedhamiria kuanzisha kanzi data ya makundi ya damu ili kurahisisha upatikanaji wa damu kwa watu
Mengi yaendelea kuibuka ripoti ya C.A.G. April 11, 2023 Siasa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali imeendelea kuibua upotevu wa fedha za serikali katika miradi mbalimbali.
Jafo: Tumieni teknolojia kuchimba madini. April 11, 2023 Teknolojia Waziri Jafo awataka wachimba madini kutumia teknolojia kwani shughuli za uchimbaji zinapelekea uharibifu wa mazingira.
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma