ZINAZOVUMA:

Jafo: Tumieni teknolojia kuchimba madini.

Waziri Jafo awataka wachimba madini kutumia teknolojia kwani shughuli za...

Share na:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira-Mhe. Selemani Jafo amewataka wachimba madini hususani wale wadogo wadogo kutumia teknolojia bora ili kusaidia kutunza mazingira kwani uchimbaji wa madini unapelekea uharibifu wa miti ambao ndio chanzo cha mvua kwenye maeneo mengi ya nchi yetu.

Hayo ameyasema mapema leo hii kupitia kipindi cha kumepambazuka kupitia Chaneli ya ITV

“Uchimbaji wa madini, unaharibu miti mingi wachimbaji wadogo waende katika teknolojia nyingine mbadala, bahati nzuri wengi wao wameshaanza kufanya kazi hiyo”.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira-Mhe. Selemani Jafo

Endelea Kusoma

Vyombo vya Habari nchini Iran vimeanza kutangaza kifo cha Rais Ebrahim Raisi,