Siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani Leo Mei 03 ni siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani ambapo kitaifa siku hii inaadhimishwa Zanzibar Habari, Jamii May 3, 2023 Soma Zaidi
Dkt Tulia aomba jimbo lake ligawanywe May 3, 2023 Siasa Spika wa Bunge Dkt Tulia Akson ameiomba serikali kuligawa jimbo lake la mbeya mjini kutokana na ukubwa na wingi wa
“Kila la kheri kidato cha sita” May 2, 2023 Elimu Wanafunzi wa kidato cha sita wameanza mitihani yao leo Mei 2, 2023 ya kuhitimu elimu ya sekondari
Mechi ya Yanga yasogezwa mbele May 2, 2023 Michezo Shirikisho la mpira nchini Tanzania TFF limeisogeza mbele mechi ya nusu fainali kati ya Yanga na Singida Big Stars
Tanesco yakanusha kuhusika kukatika umeme uwanja wa B. Mkapa. May 1, 2023 Michezo, Teknolojia Shirika la umeme Tanzania TANESCO limesema halihusiki na kukatika kwa umeme Taifa katika mchezo wa Yanga dhidi ya Rivers united.
Wasimamizi wa uwanja wa Taifa wasimamishwa. May 1, 2023 Michezo Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe Balozi Dkt Pindi Chana amewasimamisha kazi wasimamizi wa uwanja wa Taifa kufuatia kadhia
“Chunguzeni mateso na mauaji kwenye hifadhi” April 28, 2023 Jamii, Utalii Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amelitaka jeshi la polisi kuchukua hatua stahiki juu ya uteswaji na mauaji kwenye hifadhi
Ujenzi daraja Dar mpaka Zanzibar wakaribia April 28, 2023 Jamii, Teknolojia Serikali inajiridhisha juu ya teknolojia itakayotumika kujenga daraja kubwa litakalo unganisha Tanzania Bara na Zanzibar
Serikali yaboresha jeshi la zimamoto na uokoaji. April 26, 2023 Jamii, Siasa Serikali imezindua kituo kipya cha zimamoto na uokoaji Dodoma na kuahidi kuboresha miundombinu ili kurahisisha huduma Kwa jamii.
“Wanafunzi fanyeni mazoezi” April 26, 2023 Afya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ahimiza mazoezi kwa wanafunzi kwa lengo la kupunguza magonjwa yasiyo ambukiza.
Serikali yaongeza nguvu kupambana na Malaria. April 25, 2023 Afya, Siasa Serikali imeendelea kutoa kipaumbele katika kutokomeza ugonjwa wa Malaria unaoendelea kuaathiri watanzania na kupelekea vifo.
Mlipuko wa kipindupindu Dar es salaam. April 25, 2023 Afya Ugonjwa wa kipindupindu umeibuka Dar es salaam ambapo zaidi ya watu 10 wamethibitika kuugua ugonjwa huo.
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma