ZINAZOVUMA:

Kitaifa

Zimamoto mkoani Kagera wamefanikiwa kuzuia Moto usiteketeze shule ya sekondari Istiqama katika manispaa ya Bukoba.
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari amesema tatizo la uhaba wa wataalamu katika sekta ya Anga limekua kilio kikubwa.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema wananchi wanatakiwa kuwa na imani na serikali yao na kuwa bandari haitauzwa
Klabu ya Simba imemsajili kocha wa zamani wa makipa wa Azam katika hatua ya kuimarisha benchi lake la ufundi.
Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani amefanya mabadiliko ya miundo ya wizara
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Abdallah Ulega amesema wizara yake itaanzisha programu ya BBT mifugo ili kuwawezesha vijana
LATRA yasitisha ratiba ya mabasi 38 ya kampuni ya 'New force' kama hatua ya kudhibiti ajali kutokana na mwenendo wao.
Klabu ya Yanga imepata mualiko kutoka kwa Raisi wa Malawi Lazarus Chakwerwa kwenye sherehe za uhuru wa nchi hiyo

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya