Tanzania ina mazingira rafiki kwa wawekezaji Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nauye amesema Tanzania ina mazingira rafiki kwa wawekezaji Uchumi September 25, 2023 Soma Zaidi
NSSF kuuza mradi wa kigamboni kurudishwa fedha zilizowekezwa September 25, 2023 Uchumi Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF unatarajia kuuza mradi wa Dege eco village uliopo kigamboni kurudishwa fedha zilizowekezwa
B.O.T kuwawezesha mitaji wachimbaji wa dhahabu September 25, 2023 Madini, Nishati Benki kuu ya Tanzania inatarajia kuwawezesha mitaji wachimbaji wa madini ili kuongeza wa dhahabu ambayo hununuliwa na Benki hiyo
MNADA wa vitalu vya gesi mwakani September 24, 2023 Biashara, Uchumi Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli nchini Tanznaia upo katika maandalizi ya mnada wa vitalu 26 unaotarajiwa
MAMA ABADALI SURA SANAA NA MICHEZO September 23, 2023 Jamii Mama Samia amteua Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa na Michezo, na kumteua Ubalozi Said Othman aliyekuwa wizarani
MAHARAGE CHANDE sio wa TANESCO tena September 23, 2023 Habari Rais samia amefanya mabadiliko mbalimbali ya kiungozi, pamoja na kumuhamisha Maharage Chande kutoka TANESCO kwenda TTCL.
Dkt Ndumbaro ajiuzulu nafasi yake Tff September 22, 2023 Michezo Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro amejiuzulu nafasi yake Tff
Rita wataja sifa za wosia kisheria September 22, 2023 Jamii Ofisi ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini Rita wametoa sifa zinazotambulika kisheria za kuufanya wosia kuwa halali
Mahakamani kwa kudanganya uraia apate kitambulisho cha nida September 20, 2023 Jamii Raia wa Marekani afikishwa mahakamani kwa kudanganya uraia ili aweze kupata hati ya kusafiria na kitambulisho cha nida
Mashabiki 4 wa Namungo wapoteza maisha kwenye ajali September 20, 2023 Michezo Basi lililokuwa limebeba mashabiki wa timu ya Namungo kutoka Ruangwa limepata ajali na kusababisha vifo vya watu na wengine kujeruhiwa
Zanzibar yampa mwekezaji Bandari ya Malindi September 19, 2023 Uchumi, Usafiri Serikali ya Zanzibar imekabidhi shughuli za uendeshwaji wa bandari ya bandari kwa mwekezaji ili kuongeza ufanisi
Sanjay Duty apewa ubalozi wa utalii Tanzania September 19, 2023 Jamii, Utalii Muiigizaji kutoka nchini India Sanjay Dutt amepewa ubalozi wa kuitangaza Tanzania kutokana na ushawishi wake na umashughuli alionao